simple,
mrudishie hiyo zawadi uake, mwambie mkeo peke yake ndo mwenye ruhusa ya kukununulia chupi.....
na huna matumizi na condom, maana unafanya mapenzi na mkeo tu......
kisha acha kuchekea chekea wanawake wa watu.......
acha kutoka nae lunch, kama kuna mtu unayeweza kumuagiza muagize, la ikiwezekana mwambie mkeo akufungie msosi kwa kipindi cha kama wiki mbili hivi, ikishindikana usitoke nae lunch peke yake kuwa na mtu wa tatu....
mwisho sema nae, vunja ukimya.... mwambie huna interest nae.... ila kama unamuonea aibu kila ukiwa nae uwe unazungumza kuhusu mkeo, msifie mkeo mbele yake...ataboreka tu