Nisaidieni mawazo juu ya huyu mke wa mtu

Nakshi, trust me, sikuwahi kufikiri kama huyu dada angenifikisha hapa, sijawahi kumkolea achilia mbali kwamba ni wakawaida sana, na zaidi swala la yeye kuwa mke wa mtu sio la kusikia au la kuangalia kidoleni, jamaa yake anamleta na kumuijia ofisini kila siku, nadhani hajatulia tu huyu, hapa tumefahamiana kama sio kuonana hata miezi mitatu haijaisha. na msimamo wangu mke wa mtu simgusi, nshawahi kuvaa nguo zangu na kumuacha chumbani mke mtu sababu alisema ukweli in the dead hours, aje huyu wapi!!!!

Japo pia na nyie humu ndani naona kama mnalichukulia swala la kumpiga mtu stop asikuzoee ni rais saaaaaaaana, sikubaliani na nyie labda kama mnataka watu tukaishi maporini au tuache kazi kabisa sasa.

hata kama itachukua muda kumpiga chini punguza mawasiliano nae taratibu, tena siku nyingine akikusalimia mchunie akishinikiza salamu zaidi mjibu in short sorry sijasikia then fanya hasini zako,wewe ndio unayeyajua mazingira ya hapo ofisini kwenu hata kwenye lunch kaa nae mbali jaribu kumkwepa within week hakufuati tena, tena muignor mbele za watu
 
Fuata ushauri wa bossi wako...kama kweli unatumia akili ..ila kama akili zako ni za kuazima basi kazi kwako
 
Mwaya wewe ndio kidume cha mbegu; umebarikiwa kuliko wanaume wote. Kula kwa raha zako, tena condom itakipunguzia utamu. Pika peku kijana, nani anauhakika na kesho?

Halafu mmama kakuomba mwenyewe, asije akakudharau bure!
 
Toka nimehamia Kampuni hii sijamaliza hata miezi mitatu jamani lakini huyu mdada/mmama naona anataka kuniangusha kinguvu sasa.

Inawezekana makosa niliyafanya mimi mwanzoni, lakini ilivyokuwa ni kwamba, kama kawaida kwenye maofisi mengi huduma za chai jikoni kila mtu anajiservia na kusafisha kikombe mwenyewe, mimi the first day nimefika kiutani tu, tukiwa jikoni wengi nikasema hili swala la kusafisha kikombe wakati nyumbani nasafishiwa sintaliweza, ikaibua mjadala kidogo pale nikajua yameisha.

Baada ya kama wiki hivi huyu mdada, akanifuata ofisini kwamba amejia kikombe akasifishe, nikamuambia asante kwanza sijamaliza kunywa chai, nikajua yameisha, baada ya nusu saa akarudi tena akakichukua na kuniambia kama sijali atakuwa ananiservia kabisa nikajichekeshachekesha nikijua ni utani tu. Kosa, mdada alikuwa serious toka siku hiyo naserviwa chai na kusafishiwa kikombe na tayari wadada wengine hapa wamekwishaanza vicheko vicheko vya kijinga.

Kosa la msingi ni siku nilipomkuta getini anachekacheka nawalinzi lunch time, on her way out, nikaomba kumtoa lunch akakubali, nayo ikazua tabia, sasa hata lunch lazima twende wote, ikafikia hatua Mkurugenzi akaniambia, "Kiongozi Mke wa mtu huyo, kama uko interested usijifungie ofisini wako mabinti walembo sana humu ndani bwana jitahidi kuzunguka kidogo" nikajua hii issue sasa inaelekea kubaya.

Siku moja akaanzisha story za kifamilia na katikati akaniambia mme wake hamridhishi, nikatoa ushauri wa nini afanye huku nikichagua maneno kwa uangalifu mkubwa sana, kesho yake asubuhi aliponiletea chai, akaniambia ushauri wangu haukusaidia kitu, nikamshauri asikate tamaa, sasa ikawa kila siku naletewa malalamiko silidhishwi silidhishwi, ghafla ijumaa iliyopota asubuhi na mapema ananiambia ameota tumedo, na amefurahi sana, na alipoamka alikuta kujichafua, moyoni nikajua hapa mimba ya uovu imeishashika. leo mchana huu tumetoka kula lunch, tulikuwa wengi kidogo, kanifuata ofisini kanipa kimfuko ananiambia zawadi yangu, kabla sijaandika post hii, nimekiangalia ndani nimekuta chupi na kondomu.hapa nimepandwa na kiwewe.

Nisaidieni maombi jamani.

Thou shall not commit adultery, says the Lord your God!
For every man who covets in his heart another man's wife (well, any pretty girl wiggling those things--if you know what i mean!) commits adultery. Sangarara upo hapo? Ha ha ha ha.
 
Nimetoka kumpigia ajie vitu vyake, nimemuambia sitaki mambo ya kihuni, kanijibu kwamba, yeye sio muhuni labda mimi ndio muhuni na kwamba yeye kaishanipa zawadi hazichukui tena kama nataka kuzirudisha ntajua pa kuzipeleka.Good news nikwamba hatujaongea kwa friendly tone. Nimekoma, huyu mwanamke kanibadirikia

Hahahaha huyo anakutega asee lol.....na wewe kaa kama siku tatu hivi afu chukua hizo zawadi zake then ziweke kwenye karatasi ya tofauti afu mwambie na wewe una zawadi yake.....akija mpatie akienda kufungua mbele ya safari atapata majibu kuwa uko serious na hutaki utani......ingawaje atajisikia vibaya but kuepusha shari na mazoea na mke wa mtu itabidi tu ufanye hivyo!
 
nasikitika kuona vitu vivi tena ni mwanajamvi wa long time sana umeona visa vingi then una be temped kama inzi na buibui just anapitisha kale ka uzi we tayari umenasa wacha ujinga wewe
Join Date : 29th September 2011

Mi pia nimesikitika sana aise, yaani mkuu pamoja na kukaa kwako JF muda wote huo bado haijakusaidia tu ktk kujenga uaminifu wa ndoa yako? duh, kaazi kweli kweli!
 
Ingawa naona ni kama stori ya kutunga. kama ni kweli basi ujue shetani anafanya kazi yake. Jaribu uone kama hujanasa tukaja kukutoa na jeki.
 
ha ha ha ha, nilichogundua ni kwamba wanawake wote waliotoa ushauri wamesema achana nae ilhali wanaume kadhaa wamesema kula uroda!! Hii inaonesha nini? Wanawake sio risk takers but careful, not necessarily moral though!!

Kumbe huwajui wanawake wewe.........you still have a long way to go.....reading what the say and actually what they real mean.....
 
Hahahaha huyo anakutega asee lol.....na wewe kaa kama siku tatu hivi afu chukua hizo zawadi zake then ziweke kwenye karatasi ya tofauti afu mwambie na wewe una zawadi yake.....akija mpatie akienda kufungua mbele ya safari atapata majibu kuwa uko serious na hutaki utani......ingawaje atajisikia vibaya but kuepusha shari na mazoea na mke wa mtu itabidi tu ufanye hivyo!

Haina haja ya kuendeleza ngonjera kama hataki chupi unavaa na kondom unaenda itumia sehemu yako ya halalai aka unadumisha uzazi wa mpango......alafu unamlia kabunyau vilevile.........si lazima ukatae kwa formula za wengi,you simply kataa basi
 
Teh imekaa vizuri pia lol!
 
Mi pia nimesikitika sana aise, yaani mkuu pamoja na kukaa kwako JF muda wote huo bado haijakusaidia tu ktk kujenga uaminifu wa ndoa yako? duh, kaazi kweli kweli!

Mkuu niko safi sana kwenye ndoa yangu, nimeshare hii kitu hapa kama experience, kama haijakutokea ipo siku.
 
hata inzi hufia kwenye kidonda hebu kula hiyoooooo!! Naomba wana JMF mjifunze kutoka hapa suara la kulizishana linachukua nafasi kubwa sana katika mapenzi hebu angalia huyu mwanamke anajitahidi kwa kila hali apate mtu wa kumlizisha ,amelala na mumewe halafu anamuota jamaa mwingine so wewe kama mke au mme wa mtu unapoingia katika suara hilo hebu jitahidi mpaka hapo huyo baba yupo katika hatari ya kupata ukimwi [MKE WA MTU SUMU,MMEWA MTU SUMU]
 
Toka nimehamia Kampuni hii sijamaliza hata miezi mitatu jamani lakini huyu mdada/mmama naona anataka kuniangusha kinguvu sasa.

Inawezekana makosa niliyafanya mimi mwanzoni, lakini ilivyokuwa ni kwamba, kama kawaida kwenye maofisi mengi huduma za chai jikoni kila mtu anajiservia na kusafisha kikombe mwenyewe, mimi the first day nimefika kiutani tu, tukiwa jikoni wengi nikasema hili swala la kusafisha kikombe wakati nyumbani nasafishiwa sintaliweza, ikaibua mjadala kidogo pale nikajua yameisha.

Baada ya kama wiki hivi huyu mdada, akanifuata ofisini kwamba amejia kikombe akasifishe, nikamuambia asante kwanza sijamaliza kunywa chai, nikajua yameisha, baada ya nusu saa akarudi tena akakichukua na kuniambia kama sijali atakuwa ananiservia kabisa nikajichekeshachekesha nikijua ni utani tu. Kosa, mdada alikuwa serious toka siku hiyo naserviwa chai na kusafishiwa kikombe na tayari wadada wengine hapa wamekwishaanza vicheko vicheko vya kijinga.

Kosa la msingi ni siku nilipomkuta getini anachekacheka nawalinzi lunch time, on her way out, nikaomba kumtoa lunch akakubali, nayo ikazua tabia, sasa hata lunch lazima twende wote, ikafikia hatua Mkurugenzi akaniambia, "Kiongozi Mke wa mtu huyo, kama uko interested usijifungie ofisini wako mabinti walembo sana humu ndani bwana jitahidi kuzunguka kidogo" nikajua hii issue sasa inaelekea kubaya.

Siku moja akaanzisha story za kifamilia na katikati akaniambia mme wake hamridhishi, nikatoa ushauri wa nini afanye huku nikichagua maneno kwa uangalifu mkubwa sana, kesho yake asubuhi aliponiletea chai, akaniambia ushauri wangu haukusaidia kitu, nikamshauri asikate tamaa, sasa ikawa kila siku naletewa malalamiko silidhishwi silidhishwi, ghafla ijumaa iliyopota asubuhi na mapema ananiambia ameota tumedo, na amefurahi sana, na alipoamka alikuta kujichafua, moyoni nikajua hapa mimba ya uovu imeishashika. leo mchana huu tumetoka kula lunch, tulikuwa wengi kidogo, kanifuata ofisini kanipa kimfuko ananiambia zawadi yangu, kabla sijaandika post hii, nimekiangalia ndani nimekuta chupi na kondomu.hapa nimepandwa na kiwewe.

Nisaidieni maombi jamani.
..Kaka mtafune tu haina kelele hiyo...
 
mkuu umeyataka mwenyewe kwa kujilegeza kwa huyo dada...ushaambiwa ni mke wamtu, sasa unajilegeza nini?kikombe osha mwenyewe, chai jisevie mwenyewe acha utegemezi jua kujitegemea...kwanza umeoa wewe?whether umeoa au hujaoa kumbuka kitu kimoja MKE WA MTU NI SUMU na hapo unajitafutia dhambi kwa Mungu wako sijui utamjibu nini...kumbuka pia aliyeyaunganisha Mungu mwanadamu asitenganishe......kaa mbali na sumu hiyo...mrudishie hivyo vijizawadi vyake FASTA!
Toka nimehamia Kampuni hii sijamaliza hata miezi mitatu jamani lakini huyu mdada/mmama naona anataka kuniangusha kinguvu sasa.

Inawezekana makosa niliyafanya mimi mwanzoni, lakini ilivyokuwa ni kwamba, kama kawaida kwenye maofisi mengi huduma za chai jikoni kila mtu anajiservia na kusafisha kikombe mwenyewe, mimi the first day nimefika kiutani tu, tukiwa jikoni wengi nikasema hili swala la kusafisha kikombe wakati nyumbani nasafishiwa sintaliweza, ikaibua mjadala kidogo pale nikajua yameisha.

Baada ya kama wiki hivi huyu mdada, akanifuata ofisini kwamba amejia kikombe akasifishe, nikamuambia asante kwanza sijamaliza kunywa chai, nikajua yameisha, baada ya nusu saa akarudi tena akakichukua na kuniambia kama sijali atakuwa ananiservia kabisa nikajichekeshachekesha nikijua ni utani tu. Kosa, mdada alikuwa serious toka siku hiyo naserviwa chai na kusafishiwa kikombe na tayari wadada wengine hapa wamekwishaanza vicheko vicheko vya kijinga.

Kosa la msingi ni siku nilipomkuta getini anachekacheka nawalinzi lunch time, on her way out, nikaomba kumtoa lunch akakubali, nayo ikazua tabia, sasa hata lunch lazima twende wote, ikafikia hatua Mkurugenzi akaniambia, "Kiongozi Mke wa mtu huyo, kama uko interested usijifungie ofisini wako mabinti walembo sana humu ndani bwana jitahidi kuzunguka kidogo" nikajua hii issue sasa inaelekea kubaya.

Siku moja akaanzisha story za kifamilia na katikati akaniambia mme wake hamridhishi, nikatoa ushauri wa nini afanye huku nikichagua maneno kwa uangalifu mkubwa sana, kesho yake asubuhi aliponiletea chai, akaniambia ushauri wangu haukusaidia kitu, nikamshauri asikate tamaa, sasa ikawa kila siku naletewa malalamiko silidhishwi silidhishwi, ghafla ijumaa iliyopota asubuhi na mapema ananiambia ameota tumedo, na amefurahi sana, na alipoamka alikuta kujichafua, moyoni nikajua hapa mimba ya uovu imeishashika. leo mchana huu tumetoka kula lunch, tulikuwa wengi kidogo, kanifuata ofisini kanipa kimfuko ananiambia zawadi yangu, kabla sijaandika post hii, nimekiangalia ndani nimekuta chupi na kondomu.hapa nimepandwa na kiwewe.

Nisaidieni maombi jamani.
 
baba upo?? ni salamu tu mzazi wangu!
Nipo mwanangu cacico bana!, uliyenyonya ziwa la mke wangu, ambalo mimi baba yako najidai nalo, ha ha haaaa.
Umenkunywa chai mwanangu? Sijui kama bado unapenda chapati za maji kama zamani mwanangu, maana ni siku nyingi ati!!...Leo nimejikuta nina uchungu na wewe mwanangu, naomba yeyote atakayekuudhi majukwaani um'mention kwangu ili nipande nae...sitaki kabisa uboreke leo mtoto mzuri!..Maana kuna watu kama akina gfsonwin , sweetlady na wengine, wanawaamkia watoto wa wengine bila hata sababu!...huh!
 
umetengeneza mazigira na umeyakubali mazingira na umeyaruhusu.. sasa unalalamika nini??? achana na mke wa mtu mweleze na ukatishe
 
Back
Top Bottom