Rapunzel
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,079
- 599
Nakshi, trust me, sikuwahi kufikiri kama huyu dada angenifikisha hapa, sijawahi kumkolea achilia mbali kwamba ni wakawaida sana, na zaidi swala la yeye kuwa mke wa mtu sio la kusikia au la kuangalia kidoleni, jamaa yake anamleta na kumuijia ofisini kila siku, nadhani hajatulia tu huyu, hapa tumefahamiana kama sio kuonana hata miezi mitatu haijaisha. na msimamo wangu mke wa mtu simgusi, nshawahi kuvaa nguo zangu na kumuacha chumbani mke mtu sababu alisema ukweli in the dead hours, aje huyu wapi!!!!
Japo pia na nyie humu ndani naona kama mnalichukulia swala la kumpiga mtu stop asikuzoee ni rais saaaaaaaana, sikubaliani na nyie labda kama mnataka watu tukaishi maporini au tuache kazi kabisa sasa.
hata kama itachukua muda kumpiga chini punguza mawasiliano nae taratibu, tena siku nyingine akikusalimia mchunie akishinikiza salamu zaidi mjibu in short sorry sijasikia then fanya hasini zako,wewe ndio unayeyajua mazingira ya hapo ofisini kwenu hata kwenye lunch kaa nae mbali jaribu kumkwepa within week hakufuati tena, tena muignor mbele za watu