Nisaidieni mkojo wa njano na uchafu wa pink kwa mtoto

Nisaidieni mkojo wa njano na uchafu wa pink kwa mtoto

mataka

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
286
Reaction score
61
Habari zenu wanajukwaa, naomba msaada wenu wa mawazo wanajukwaa, nina mwanangu ana miezi minne kwa mda takribani wa wiki mbili anakojoa mkojo wa njano na uchafu wenye rangi km pink,nimeenda hospital wameniambia ni UTI wakanipa amoxlini amemaliza dozi bila mafanikio, kwa wanaojua vizur wanipe chanzo na tiba yake, kuna mfamasia mmoja aliniambia kwa umri wake si rahisi kupata itakuwa kapata infection akiwa tumboni. Je kuna ukweli wowote? Dr mzizimkavu nakusubiria ndugu yangu kazi za watu haziendi
 
pole sana, ni jinsia gani mwanao? atakuwa amepata UTI ambayo haitibiki kwa amoxicillin nakushauri nenda hospitali ukawaeleze watakubadilishia dawa.
 
huyo ni jiansia gani lakin.
Mtoto kupata uchafu thats a big problem plz nenda hospital mara moja
 
Kuna aina nyingi za UTI so nenda kubadilishiwe dawa si kila UTI inatibika kwa Amoxlin
 
Asantenh wakuu nimeenda hospital wamembadilishia dawa
 
Asantenh wakuu nimeenda hospital wamembadilishia dawa kwa sasa anaendelea vizuri
 
Back
Top Bottom