Mambo vipi wana jf mpenzi wangu katokewa na vipele maeneo ya shingoni na mkono wa kushoto vipele vidogovidogo sana na anadai vinawasha sana naombi msaada dawa gani atumie?
Nimejaribu kuattach picha nimeshindwa
MissM4C ye yuko chuo sidhani kama alikwenda. Shamba may be kama wadudu hutembea tu ikawa hivyo. But yeye vinakua vingi sio kama vile vinavyowaka moto leo kaamka vimefika usoni kwenye paji la uso.so hiyo ulioandika hapo juu ni dawa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.