Nisaidieni mpenzi wangu katokewa na vipele vidogovidogo

Nisaidieni mpenzi wangu katokewa na vipele vidogovidogo

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,760
Mambo vipi wana jf mpenzi wangu katokewa na vipele maeneo ya shingoni na mkono wa kushoto vipele vidogovidogo sana na anadai vinawasha sana naombi msaada dawa gani atumie?
Nimejaribu kuattach picha nimeshindwa
 
CETRIZINE Nahisi Kapaka Mafuta asiyoyazoea, ama alienda dhamban akaangukiwa Chavua
 
CETRIZINE Nahisi Kapaka Mafuta asiyoyazoea, ama alienda dhamban akaangukiwa Chavua

MissM4C ye yuko chuo sidhani kama alikwenda. Shamba may be kama wadudu hutembea tu ikawa hivyo. But yeye vinakua vingi sio kama vile vinavyowaka moto leo kaamka vimefika usoni kwenye paji la uso.so hiyo ulioandika hapo juu ni dawa?
 
kwann asiende hospitali hz dawa za kuambiana kwa kukisia sio nzuri
 
Aenda hospitali, yaweza kuwa ni "mkanda wa jeshi"
 
Back
Top Bottom