Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 806
Siku 5 zimepita sasa alikuwa anasumbuliwa na mafua na kikohozi kidogo. leo katapika tukampeleka hospital, huko kapimwa kaoneka na malaria, pia aliongezwa drip ya maji.
Tupo nyumbani bado hajatulia kama kawaida, tatizo hataki kula na ananyonya kidogo. Akilala anajinyonga nyonga, hatulii. Anaumri wa mwaka na miezi 3 sasa, ni binti. Je hapa tatizo ni nini? Nini tiba yake? Ushauri please.