Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Hujawahi kupenda wewe.Tatizo sio kutongoza,REAL love.Huu labda ni woga wa kutongoza?? Unamngoja mtu asiyekua na taim na wewe??
ZD, love is a two way traffic....ikiwa ni one way unashauriwa kusepa! Hii ya one way mi siiti 'love' ina any color...its simply an obsession.Hujawahi kupenda wewe.Tatizo sio kutongoza,REAL love.
Cha muhimu nu kupata ushauri jinsi ya kumtoa moyoni na kuanza maisha upya.Na zaidi sana mwombe Mungu akuelekeze nini cha kufanya hasa kipindi hiki umechanganyikiwa na mapenzi
........Mimi nina mashaka na upendo wa huyo msichana kwako, kipindi alivyokuwa secondary kweli mapenzi yangemchanganya na masomo.
Ila sasa hivi yupo chuo na haonyeshi dalili yoyote ya upendo kwako............mhhhhhhhhhhh!! Shtuka hapo mkaka isijekuwa ana mtu mwingine wewe anakuyeyusha tu maana ndio zetu baadhi ya wasichana.
Hivyo wewe unaweza kumjua vizuri kama kweli anakupenda ila masomo ya chuo ndio kikwazo au hata dalili ya kukupenda hana ila anakupiga tarehe tu.
I agree with u 100%,lakini uhodari wa kutongoza hata kama hamna mapenzi hiyo ndio nakataa.Kung'ang'ania mtu au kumpenda haina maana anaogopa kutongoza wengine.ZD, love is a two way traffic....ikiwa ni one way unashauriwa kusepa! Hii ya one way mi siiti 'love' ina any color...its simply an obsession.
Katika kesi hii ndivyo nilivyohisi (ndo maana nilisema labda)....kwamba jamaa hapendwi halafu hataki kungalia pembeni kwa miaka nenda rudi.....:mad2:...simply sio kupenda huku!I agree with u 100%,lakini uhodari wa kutongoza hata kama hamna mapenzi hiyo ndio nakataa.Kung'ang'ania mtu au kumpenda haina maana anaogopa kutongoza wengine.
Nimekupata RR,Nadhani na muhusika amepata ujumbe.Ataangalia pembeni sasa.Katika kesi hii ndivyo nilivyohisi (ndo maana nilisema labda)....kwamba jamaa hapendwi halafu hataki kungalia pembeni kwa miaka nenda rudi.....:mad2:...simply sio kupenda huku!
Mvumilivu hula mbivu,keep on kuvumilia,utazivuna mbivu muda si mrefu :A S 8::A S 8::A S 8::A S 8:
Sasa mkuu hapa unachanganya mambo....wewe unaemjua humwelewi....sasa sisi tusiomjua tutamwelewa kweli??Hujafanya homework yako ipasavyo...
mimi nishamweleza kwamba masuala ya ngono hata imani yangu yenewe hainiruhusu ila hatujafikia muafaka. Bado anadai vidonda vya jamaa wa kwanza aliyempa cha mbavu havijapona kiasi cha kuwaamini wanaume tena. Zaidi na la kunikatisha tamaa anadai hajui amkubalie mwanaume wa aina gani ambaye atakuwa mwaminifu kwake asimtende tena. Eti bado anamwomba MUNGU sasa Mungu hamjibu siku zote hizo tu jamani
RR hujanipata ndugu....
Cyo kwamba simuelewi tabia zake na mwenendo wake! Ni kwamba sielewi anataka hatma iweje?!
Na mambo anayoyafanya kama nillivyoeleza mwanzo yananichanganya sijielewi kwamba napendwa hivyo nijipe moyo au la!
Zaidi, nifanye nini nimtoe moyoni iwapo kwa mtazamo wenu ni kwamba hanipendi kwa sababu nimemuweka moyono for more than four years inaniwia kazi sana kumsahau kabisa

Nimekuelewa kaka....but it takes more than that to get to understand a lady...RR hujanipata ndugu....