Nisaidieni nakonda


kazana kuomba mungu na kuweka imani kwa mungu ukiamini kwamba kuna mwanamke ameumbwa kwa jili yupo na mungu atakuletea kama nini yeye huyo dada basi wakati wa mungu ukifika atakubali hoja zako bila matatizo
 
Mpende akupendae. Huyo dada kwa sasa hana mapenzi na wewe. Kuendelea kumng'ang'ania ni kujitesa mwenyewe. Nakushauri uachane nae, tafuta atakaekupenda.
 
Hata mimi nina mashaka na huyu binti, wakati mpo secondary ni kweli muda ulikuwa bado, lakini mpaka chuo bado anakudengulia tu hapo kuna walakini. Angeanza basi japo kuonyesha ushirikiano fulani na kukupa moyo kwamba labda hapo baadaye atakuwa mkeo. Jaribu kumuuliza kama kweli anakupenda asije akaja kukuumiza hapo baadaye.
 

U nailed it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…