Nisaidieni:nategemea kuingia 2nd year sina mkopo

Nisaidieni:nategemea kuingia 2nd year sina mkopo

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
guys mkopo mwaka jana niliapply nikakosa nategemea kuingia 2nd year je nifanye nini
 
guys mkopo mwaka jana niliapply nikakosa nategemea kuingia 2nd year je nifanye nini

Omba tena upya na fuata njia zile zile ulizoomba na siku ya kurejesha fomu yao kwa njia ya EMS usisahau kuambatanisha na fomu yako ya kujiunga na chuo.
 
omba tena kwa mara nyingine, hakikisha unattach documentt zote, HSLB wakikunyima tena kaombe mkopo SACCOS au VIKOBA
 
Back
Top Bottom