Kusema kweli nampenda na niko A level (form 6) na nina umri wa miaka 19 na yeye kamaliza a level mwaka jana
Kusema kweli nampenda na niko A level (form 6) na nina umri wa miaka 19 na yeye kamaliza a level mwaka jana
Ndo ivo.Eeeh...!???
Hivi wadogo zetu mtaweza kweli kufika walikofika akina Nyerere kama katika umri huo mdogo unawaza kutoa mimba..nwy ushauri wangu..hebu mwambie binti awajulishe wazazi wake..wewe hujui kitu bwana..usfikiri kutoa 'mimba ni sawa na kununua jaketi lako'Kusema kweli nampenda na niko A level (form 6) na nina umri wa miaka 19 na yeye kamaliza a level mwaka jana
Jinsi unavoojiexpress, ni kuwa una uamuzi tayari.Kusema kweli nampenda na niko A level (form 6) na nina umri wa miaka 19 na yeye kamaliza a level mwaka jana
Ndo mambo ya kitanda hakizai haramu hayo.Ukipenda boga penda na ua lake hapo we lea nimali yako!
Ukipenda boga penda na ua lake hapo we lea nimali yako!