Mage,
You need to be flexible, there're many jobs outthere which need multiprofessionaonals. Don't be selective. When you've onething in your hand is easier to get another. I hope you've catch it.
mimi ni binti mwenye miaka 25 nimemaliza elimu yangu ya juu UDSM in wildlife
science and conservation lakini mpaka sasa sijapata kazi nimeaply mnooo.
Nisaidieni waungwana mwenye uwezo wa kufanya ni pate kazi niko tayari kufanya kazi mkoa wowote ulee.
Mungu awabariki
you are not alone who are not employed mpo wengi sana,sasa mimi naweza kukupatia kazi rahisi sana rakin ambayo utamake a lot of money into future,did got me?
sasa kuanzia sasa kazi yako wewe nikutafuta kazi send more aplication as u can one day 4 sure u will got what u need
Narudia tena kwamba kuanzia sasa wewe kazi yko ni kutafuta kazi usiseme tena kama huna kazi
Try this people who call themselves Friends of Serengeti.They actually resulted to the forming of Tarangire and I think right now they are in Serengeti.I do not have their adress but just pop in once in a while am sure to have it by tommorrow.They deal with environmental conservation and protection of wildlife.
If you may be attracted with hortcultural am pleased to give you an adress and from what I can see your location is in Arusha it could be easy.
jamani habari zenu wakubwa mie ni member mgeni kabisa na nimejiunga ili nipate msaada toka kwa wanajamii wenzangu simply nami pia i am a mass communicator graduate but i am able to do anykind of job that you think can give me a daily bread.
thanks wanajamii
Unatokea sayari gani wewe?..unasoma lakini huelewi...kwani amekwambia anatafuta kazi katika wildlife science and conservation..hajasema anataka kazi gani, kama huna msaada siyo lazima usiandike.
mimi ni binti mwenye miaka 25 nimemaliza elimu yangu ya juu UDSM in wildlife
science and conservation lakini mpaka sasa sijapata kazi nimeaply mnooo.
Nisaidieni waungwana mwenye uwezo wa kufanya ni pate kazi niko tayari kufanya kazi mkoa wowote ulee.
Mungu awabariki
Swali la kwanza la interview
Mass Communicator graduate or Mass Communication graduate?[/QUOTE]
Mkuu Pundit asante kwa kuona hizo small details lakini ni muhimu sana....
Kazi huanzia hapa, sasa kama huyu jamaa hata hajui jina lako kitaalam, elimu aliyoisomea miaka 3-4 ataweza kujua kitu kingine kweli...usikute hata CV hajui inaandikwa vipi...sikukatishi tamaa lakini kama style yako ndo hii...basi unakazi kabla hujapata moja....
mwanawani usiwe naharaka sana wewe subiri kazimzuriunajua kazi za mapema zinakuwa sionzuri imean zainkuwa za mshahara mdogo so wewe u have to waituntil thoseguyshave alresdy employed andreduce competion tothe industry and then you can apply for the better jobjamani habari zenu wakubwa mie ni member mgeni kabisa na nimejiunga ili nipate msaada toka kwa wanajamii wenzangu simply nami pia i am a mass communicator graduate but i am able to do anykind of job that you think can give me a daily bread.
thanks wanajamii
mwanawani usiwe naharaka sana wewe subiri kazi mzuri unajua kazi za mapema zinakuwa sionzuri imean zainkuwa za mshahara mdogo so wewe u have to waituntil those guys have alresdy employed and reduce competion to the industry and then you can apply for the better job