Tafuta thread ya Scholarship au wasiliana na Mexence Melo
Hii kali kumbe Max hutoa scholarship? Dogo check NUFFIC na Fullbright Scholarships ila uwe na proposal mkononi maana kuna competition sana.
Good lucky
Wajameni,
Niko desparate sana kupata chuo kinachotoa PhD in Economics & Finance preferrably katika vyuo vya nchi za Scandinavia na USA. Nafahamu inahitaji kutafuta sana kwenye internet, lakini najua mlioko huko na wale mliopitia vyuo huko mtakua na information za kunirahisishia namna ya kupata admission kirahisi. Nahitaji ku-join mwaka huu.
Nategemea msaada wenu....
Labla sijamuelewa yeye anataka Scholarship? au chuo ili apate admission?, Lukwu hebu fafanua zaidi kuhusu hilo, wewe unataka admission au scholarship, maana naona kama mimi au wengine wamekuelwa ndivyo sivyo.
Sweden elimu ni bure, tatizo living expenses. Na nchi kadhaa za huko ni hivyo hivyo.
Nadhani hamna haraka katika kuomba Ph.D ni process ndefu kidogo.
Keep waiting!!!! Et change will come.you have make change by find out solution, of your problem.then u will be proud of ur'self.