Wajameni,
Niko desparate sana kupata chuo kinachotoa PhD in Economics & Finance preferrably katika vyuo vya nchi za Scandinavia na USA. Nafahamu inahitaji kutafuta sana kwenye internet, lakini najua mlioko huko na wale mliopitia vyuo huko mtakua na information za kunirahisishia namna ya kupata admission kirahisi. Nahitaji ku-join mwaka huu.
Nategemea msaada wenu....