mniwie radhi jamani..kunauzi ulishakuwepo hapa unaohusu pampu zamaji zinazotumia sola power,na ulikuwa unaattach nyingi..siku niliouwona nliku safari ko net ikawa inazingu,najaribu kuuperuzi siupati..tittle yake ilikuwa"vijana tunapoteza mda mjini"nimuhimu kwangu nisaidieni kunilocate..pia nami naendelea..ahsanteni.