Nisaidieni serikali ya ccm 'imeniua'

Nisaidieni serikali ya ccm 'imeniua'

ISMAIL MKIMBIZI

Senior Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
192
Reaction score
23
Nimezama katika MV KIDATO CHA NNE 2012 iliyozamishwa na Captain mbovu SHUKURU KAWAMBWA na msaidizi wake aliyegushi leseni ya Ukepten MULUGO aka HASHIM HAMIMU. Nimehitimu kidato cha nne mwaka jana 2012, sikuamini matokeo yangu kwani nilitegemea DIV II ajabu nimepata DIV IV ya 26.

Biology nina C, Physics D, na Chemistry nina D hivo basi ninaomba mnisaidie kwa yeyote yule mwenye website au namba za simu za vyuo binafsi vya afya anipatie. Vile vile ikiwa kuna mtu anafahamu namna ya kupata fomu za kujiunga na vyuo hivyo naomba anitaarifu.

Angalizo: Naomba taarifa ziwe tofauti na fomu zilizopo kwenye website ya wizara ya afya nimekwisha ziona.
 
Akili yako ndio iliyokuzamisha kwa kukesha kwenye mitandao bila kushughulika masomo kama ulukusudia CDM wakuzamue wafate ofisini kwenye ile nyumba ya kupanga
 
Back
Top Bottom