asante kwa mawazo yako mazuri lakin assignment sio lazima itoke kwenye topic usika mwl anaweza kutoa swali ata nje ya topic kabisaHakika aliyekupa swali jibu analijua mkuu,usiogope mwambie ukweli kwamba ujaelewa topic arudie kufundisha kabla hajatoa assignment...
kwani ukipewa jibu na topic nzima ujaelewa hutopata nafasi ya kurudi hapa wakati wa mitihani itakula kwako mazima......:thinking:
Kwa hiyo ukipewa jibu la swali hilo itakuwa inatosha kwako?,je swali lenyewe umelielewa lakini?....mbona kama umeelewa swali na shida yako ni jibu tu ukimuuliza mheshimiwa GOOGLE anajibu kila kitu?.....napata mashaka hata swali lenyewe ujalielewa mkuu....vinginevyo unajua cha kufanya.....:yo:asante kwa mawazo yako mazuri lakin assignment sio lazima itoke kwenye topic usika mwl anaweza kutoa swali ata nje ya topic kabisa