nisaidieni swali hili hasa watu wa IT

nisaidieni swali hili hasa watu wa IT

KICHUMVI

Senior Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
113
Reaction score
14
data processing can be performed in 3 approaches manually, mechanical and electronically.manual and electronic data processing approachers have remain popular but mechanical data processing is considered out of date,
REQUIRED explain the main features of mechanical data processing that have made it not quite acceptable
 
Hakika aliyekupa swali jibu analijua mkuu,usiogope mwambie ukweli kwamba ujaelewa topic arudie kufundisha kabla hajatoa assignment...
kwani ukipewa jibu na topic nzima ujaelewa hutopata nafasi ya kurudi hapa wakati wa mitihani itakula kwako mazima
......:thinking:
 
asante kwa mawazo yako mazuri lakin assignment sio lazima itoke kwenye topic usika mwl anaweza kutoa swali ata nje ya topic kabisa
 
asante kwa mawazo yako mazuri lakin assignment sio lazima itoke kwenye topic usika mwl anaweza kutoa swali ata nje ya topic kabisa
Kwa hiyo ukipewa jibu la swali hilo itakuwa inatosha kwako?,je swali lenyewe umelielewa lakini?....mbona kama umeelewa swali na shida yako ni jibu tu ukimuuliza mheshimiwa GOOGLE anajibu kila kitu?.....napata mashaka hata swali lenyewe ujalielewa mkuu....vinginevyo unajua cha kufanya.....:yo:
 
Back
Top Bottom