Nisaidieni tafadhali nipate kibarua nipate chakula

Nisaidieni tafadhali nipate kibarua nipate chakula

pole sana mama diana me nipo arusha hapa ofisini kwetu kuna nafasi za wahudumu wa ofisi je waweza kufanya kazi arusha

Ndiyo ndugu yangu nitashukuru sana kwani nimehangaika sana

pole sana mama diana me nipo arusha hapa ofisini kwetu kuna nafasi za wahudumu wa ofisi je waweza kufanya kazi arusha

Nafasi ziko ngapi coz hata me ni muhtaj.

jamani najua basi maana ya ya PM

PM, kirefu chake ni Private Message yaani ujumbe binafsi hivyo anayetaka um PM unatakiwa kufungua profile yake kisha umuandikie ujumbe.

Back
Top Bottom