Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli niikuwa nakula bila mpango, Thanx kwa ushauri nitaufanyia kazi.......Mie nadhani tatizo sio kufunga tumbo, ila ulikuwa una kula kula sana, na mazoezi hufanyi.
Hata mimi nilipata c- section lakini tumbo na mwili wangu umerudi kawaida .......baada ya miezi 3 tokea nijifungue nikaanza kufanya mazoezi na kula matunda, mboga mboga na maji kwa wingi. Kama unakula kuku usile ngozi na punguza kula nyama nyekundu.
Hata sasa kama unataka kuondoa hilo tumbo unaweza kabisa, usiwe una kula kula bila mpango. Na uwe makini nini unakula, sio kila chakula uingize tumboni.
Kiukweli niikuwa nakula bila mpango, Thanx kwa ushauri nitaufanyia kazi