Benard kombe
Senior Member
- Jul 15, 2012
- 139
- 41
Wadau naomba mnisaidie dawa ya kipandauso sugu(magraine) nasumbuliwa sana kiasi cha kupoteza fahamu,nasubiri majibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikitika kuona rank yako ni 'JF Senior Expert Member' then ukaweza kupost pumba kama hii!unawezaje kuandika post ukiwa umezimia?
Wadau naomba mnisaidie dawa ya kipandauso sugu(magraine) nasumbuliwa sana kiasi cha kupoteza fahamu,nasubiri majibu.
Nenda hospitali ukaonane na wataalamu wa ENT na kufanya vipimo kama CT-Scan, tatizo litajulikana ni nini.
Migraine inasababishwa na magonjwa mengi mojawapo ni chronic maxillary or frontal sinusitis, Ergotamine unapata unafuu wa muda tuu.
Pole sana.