NISAIDIENI USHAURI WATAALAM

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
Habari wanajamvi nimekuwa nikisumbuliwa na kuwashwa sehemu za siri takribani miaka saba sasa nimehangaika kutumia madawa mengi ya hospital bila mafanikio, imefika kipindi kwenye koo kumekuwa kunawasha kwenye ulimi Kuna utando mweupe pamoja na na kidonda kwa mbali lakin hakiumi shingo yangu imekaza misuli, nasikia ganzi kwenye taya sina raha kwakweli naombeni USHAURI nini nifanye kujikwamua kwenye janga hili hospital zote nilizojarib kwenda wao wamekuwa wakinipatia dawa tu za kumeza na kupaka bila kuchukua vipimo, naombeni msaada wakuu nateseka kuna kipindi mdomoni kwenye lips nasikia kama nimepaka pilipili ni hayo tu wakuu.
 
mmh dalili za saratani hizo mkuu...hebu fanya kwenda ktk hospital, achana na zahanati
 
mmh dalili za saratani hizo mkuu...hebu fanya kwenda ktk hospital, achana na zahanati
Kipimo gani kitatumika kungundua kama nina saratan mkuu nimechoka na madawa if possible niende moja kwa moja kwa kipimo husika
 
Kipimo gani kitatumika kungundua kama nina saratan mkuu nimechoka na madawa if possible niende moja kwa moja kwa kipimo husika

Ndugu yangu sina utaalam wowote na mambo ya kitabibu, ila nakushauri tuu ungeenda pale ocean road, ama muhimbili ama hospital kubwa yoyote naamin huko utasaidiwa na hatimae kupona, inaweza isiwe saratani, yakawa ni magonjwa ya kawaida tuu...unavyozidi kuchelewa hali inazidi kuwa mbaya.
 
Assante kwa ushauri mkuu ntafanyia kazi
 
Ushawahi kwenda kituo cha afya?? Na walisemaje?? Kama bado nakushauri nenda hospitali hasa ya binafsi kafanye checkup ya mwili mzima.
 
Ushawahi kwenda kituo cha afya?? Na walisemaje?? Kama bado nakushauri nenda hospitali hasa ya binafsi kafanye checkup ya mwili mzima.
Nimeenda ving tu wakuu nimekuwa nikiandikiwa dawa tu mwanzo mwisho so cjui wapi pakuanzia
 
mmh dalili za saratani hizo mkuu...hebu fanya kwenda ktk hospital, achana na zahanati
Acha uongo,ndugu nenda hospitali kubwa mwone daktari ila kwa maelezo yako hapa ni vigumu daktari kuelewa maana,jinsia,umri,na pia umeeleza sehemu za siri mara koo hivyo fanyia ushauri wangu kazi pia na wa huyu bwana ila usiwaze saratani
 
mkuu unasema umeenda hospitali nyingi ila hospitali ka Regency hupati dawa ka hujafanyiwa vipimo mi nadhani kuwa mwaminifu kwa afya yako nenda hospitali ka regency, ocean road, kairuki, Agakhan, wale wapo vizuri katika matibabu pia wanavipimo vingi natumai utapata kugundua tatizo, pole sana
 
Acha uongo,ndugu nenda hospitali kubwa mwone daktari ila kwa maelezo yako hapa ni vigumu daktari kuelewa maana,jinsia,umri,na pia umeeleza sehemu za siri mara koo hivyo fanyia ushauri wangu kazi pia na wa huyu bwana ila usiwaze saratani
Assante mkuu kesho jumatatu Mungu akipenda ntaenda hospital kubwa kuanza uchunguz wa kitalaam assante sana mkuu
 
Mkuu sikutanii hospital yangu ya mwisho kwenda week mbili zilizopita ilikuwa ni kairuk na kapewa dawa tu labda huko kwengine nkajarib kiongozi
 
Mkuu sikutanii hospital yangu ya mwisho kwenda week mbili zilizopita ilikuwa ni kairuk na kapewa dawa tu labda huko kwengine nkajarib kiongozi
fanya hivyo mkuu ila kipaumbele Regency
 
Nenda hospital ya taifa ya muhimbili ukafanyiwe uchunguzi utapangiwa clinic kulingana na matatizo yako na utapatiwa ufumbuzi na vipimo husika
 
Nenda hospital ya taifa ya muhimbili ukafanyiwe uchunguzi utapangiwa clinic kulingana na matatizo yako na utapatiwa ufumbuzi na vipimo husika
Assante kwa ushauri kaka nimenza leo kulifanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…