From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,813
Usirogwe kufanya overhaul kama kuna sehemu ya uhakika wanayosupply genuine accessories.Mkuu Ndalilo injini haijakufa, gari inatembea ila ina mlio balaa yaani ningepata hao wataalamu wa kuoverhaul ingekuwa poa pia!
Ni bora mara mia ununue engine ya mtumba iliyotumika nje ya nchi kuliko kufanya overhaul.
Accessories nyingi kuanzia piston rings, mpaka cylinder gasket ni fake labda kwa maduka kama Kisangani au master card na bei zao ni kubwa.