From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,813
Usirogwe kufanya overhaul kama kuna sehemu ya uhakika wanayosupply genuine accessories.Mkuu Ndalilo injini haijakufa, gari inatembea ila ina mlio balaa yaani ningepata hao wataalamu wa kuoverhaul ingekuwa poa pia!
Mkuu Toyota si wanadeal sana na magari ya serikali na taasisi kubwakubwa na actually si wanadeal sana na model mpya mpya! maana Belta ni ya mwaka2006 yaani miaka 11 iliyopita! But if una experience ya mtu binafsi kupeleka gari lake tena gari dogo la miaka ya nyuma please nijuze zaidi mkuu!toyota belta, cc1497 VVTi, valve 16. si ndio mkuu.. iyo mkuu engine inahitaji overhaul kubwa tu stage ya engine kufikia kupiga kelele km usemavyo kuna vitu vinashida mkuu hasa kwe cylinder block, crank shaft kupiti con rod,had kwe piston hali si shwar..xo iyo ela ya kununua engine mkuu bora uende toyota kwanza kawakabidhi iyo gari ikitoka huko utafurah mwenyewe..cz wale jmaa ndo watakuambia wenyewe kuwa hii haifai tena or vp..so fanya ivo nenda Toyota mkuu.
hapana mkuu....japo sio mjuzi wa magari lakini naamini wao watakusaidia iwe hata kukushauri kwenda kwa dealers wao. anzia hapo utakuwa salama.Mkuu Toyota si wanadeal sana na magari ya serikali na taasisi kubwakubwa na actually si wanadeal sana na model mpya mpya! maana Belta ni ya mwaka2006 yaani miaka 11 iliyopita! But if una experience ya mtu binafsi kupeleka gari lake tena gari dogo la miaka ya nyuma please nijuze zaidi mkuu!
hpo hpo dar es salaam ..c wana office toyota km ilivyo makampun mengne ya magar like nissan,scania nktoyota wapi?, china au
no mkuu magar yote yote mkuu..afu pia kuhusu model ya magar ple model zote pale wanadeal nazo cz wao ndo wanadeal na usambazaji wa spear parts pia.ht km itakosekana kwa mda huu inaagizwa pia..Mkuu Toyota si wanadeal sana na magari ya serikali na taasisi kubwakubwa na actually si wanadeal sana na model mpya mpya! maana Belta ni ya mwaka2006 yaani miaka 11 iliyopita! But if una experience ya mtu binafsi kupeleka gari lake tena gari dogo la miaka ya nyuma please nijuze zaidi mkuu!