Nisaidieni wadau: Pampas zimemtoa vipele mwanangu, nitumie dawa gani?

Nisaidieni wadau: Pampas zimemtoa vipele mwanangu, nitumie dawa gani?

Nilipata shida hiyo kwa wanangu, lakini nilipobadilisha na kutumia diapers aina ya HUGGIES sikuona tatizo tena.
 
unapomvalisha hakikisha asikae nayo muda mrefu mara inapojaa abadilishwe.
Kama vipele visipokauka kwa haraka ni PM ninauza Alovera gelly unampaka ni nzuri sana itamsaidia.
 
Back
Top Bottom