Nisaidieni wadau wenye magari ya transit kwenda kasumbalesa,Lusaka,Maamba
Mwenye Conection namba zangu hizo wakuu
0620411256
Umenikumbusha interview za dereva mkongwe K9 km 38 ,kuna sehemu nyingine either uipeleke kanisani kama hakuna waamini au uipeleke mto rusumo ,hapo k9 unapanda na KASEJA(Gear namba 1) burundi unaiona ileeeee kwa chini.Nisaidieni wadau wenye magari ya transit kwenda kasumbalesa,Lusaka,Maamba
Mwenye Conection namba zangu hizo wakuu
0620411256