Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
waungwana! nilikuwa na mchumba,toka mwaka 2004,nikamtoa form four na sasa anamalizia degree ya education mwezi wa sita mwaka huu,mwaka jana mara tu baada ya kumlipia ada ya mwaka wa mwisho,kesho yake akani sms kuwa alikuwa hanipendi na alikuwa anataka tu asome! kijana nikaamua kuwa cool kwa kuwa nshapoteza pesa nyingi vibaya kwa huyu she,lakini katika masiku ya karibuni baada ya kupigika vibaya kwa mwanaume alokuwa nae eti sasa anataka kurudi kwangu na wakati hata pate yangu ya uchumba alishaitupa,na kamwe siwezi kumuamini tena,nifanyeje ndugu zangu
...follow your heart, msamehe lakini usirudiane nae.
mkuu
pole sana. kweli dunia ina mambo??
Nakushauri umsamehe, umepoteza vingi juu yake, na zaidi anakujali sana tu. Inawezekana alipata mtu wa kumdanganya, ndio maana akafanya jambo la kijinga.
Mpe nafasi nyingine. hakuna binadamu aliye sawa (perfect). wengine wanayafanya haya wakiwa ndani ya ndoa.. Lakini give her a chance..
Ukimsamehe toka moyoni, Mungu ni mwema, atarekebisha uhusiano wenu..Kwenye mahusiano kuna mambo mengi sana, ukitaka kuchukua hatua kwa kila tukio, utakufa mapema.
Wanadamu tuko hoi siku zote, pamoja na Mungu kutuma hata Mwanaye, lakini mambo bado sio mazuri kote misikitini na makanisani. MSAMEHE.
Siafiki wala kuunga mkono ujinga wake huyo dada, isipokuwa wanadamu tunateleza sana, kama sio leo basi ni kesho. She is yours, unamjua vizuri sana na yeye vivyo.. Nakuhakikishia kuwa atakuwa na heshima kuliko wakati mwingine wowote..Mshirikishe Mungu katika uamuzi wake.
thanks
Pole sana mkaka, je baada ya hapo ulianzisha mahusiano mengine? Unampenda kutoka moyoni huyo bibie wa zamani? Naweza kuchangia nikipata majibu ya hayo.
Rudia kusoma..amesema "baada ya kupigika kwa mwanaume aliyekua nae...."Pole sana mkaka, je baada ya hapo ulianzisha mahusiano mengine? Unampenda kutoka moyoni huyo bibie wa zamani? Naweza kuchangia nikipata majibu ya hayo.
waungwana! nilikuwa na mchumba,toka mwaka 2004,nikamtoa form four na sasa anamalizia degree ya education mwezi wa sita mwaka huu,mwaka jana mara tu baada ya kumlipia ada ya mwaka wa mwisho,kesho yake akani sms kuwa alikuwa hanipendi na alikuwa anataka tu asome! kijana nikaamua kuwa cool kwa kuwa nshapoteza pesa nyingi vibaya kwa huyu she,lakini katika masiku ya karibuni baada ya kupigika vibaya kwa mwanaume alokuwa nae eti sasa anataka kurudi kwangu na wakati hata pate yangu ya uchumba alishaitupa,na kamwe siwezi kumuamini tena,nifanyeje ndugu zangu
Blue
alichokuambia alimaanisha na hata ukiangalia alikuambia wakati ambao haitaji tena msaada wako.
Ni wazi hakukupenda na baada ya kutimiza malengo akaondoka.
HAKUPENDI!
Red
Ni ngumu kuishi na mtu ambaye mwenyewe unakiri huwezi kumuamini na pia aliwahi kukwambia hakupendi kwa dhati anafuata msaada wako tu.
Sasa unapata ugumu gani kufanya maamuzi?
Rudia kusoma..amesema "baada ya kupigika kwa mwanaume aliyekua nae...."
Nwyz unaweza kumsamehe ila kurudiana nae sikushauri!Alikutumia kusoma sasa anataka kukutumia kuweka maisha yake sawa!Ukijitosa uwe tayari kuambiwa tena ulikua hupendwi alitaka tu umwekee maisha yake sawa!
"akanitumia sms kwamba ALIKUA ANATAKA TU ASOME" umeona hayo maneno?Yana maana gani?Sijakurupuka kujibu!Na kutoka kwao mbali hamna aliyesema ni mchezo...kwa hiyo huwezi kusema kama binti alikuwa anamtumia..inabidi mleta mada aje aweke sawa kuhusu hili..
mambo ya mapenzi ni magumu, ni muhimu yajengwe katika misingi ya kusameheana.. wametoka mbali since 2004, sio mchezo
"akanitumia sms kwamba ALIKUA ANATAKA TU ASOME" umeona hayo maneno?Yana maana gani?Sijakurupuka kujibu!
Rudia kusoma..amesema "baada ya kupigika kwa mwanaume aliyekua nae...."
Nwyz unaweza kumsamehe ila kurudiana nae sikushauri!Alikutumia kusoma sasa anataka kukutumia kuweka maisha yake sawa!Ukijitosa uwe tayari kuambiwa tena ulikua hupendwi alitaka tu umwekee maisha yake sawa!
karibu Kibiritingoma..
natumaini ulipata msaada kwenye msaada wa kuacha ***o..
all the best