Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
asante, jana nitoa thread ya shukran naona imehamishiwa sijui jukwaa la wazee. Its almost half done, tunamsubiri mume wangu arudi tu.
waungwana! nilikuwa na mchumba,toka mwaka 2004,nikamtoa form four na sasa anamalizia degree ya education mwezi wa sita mwaka huu,mwaka jana mara tu baada ya kumlipia ada ya mwaka wa mwisho,kesho yake akani sms kuwa alikuwa hanipendi na alikuwa anataka tu asome! kijana nikaamua kuwa cool kwa kuwa nshapoteza pesa nyingi vibaya kwa huyu she,lakini katika masiku ya karibuni baada ya kupigika vibaya kwa mwanaume alokuwa nae eti sasa anataka kurudi kwangu na wakati hata pate yangu ya uchumba alishaitupa,na kamwe siwezi kumuamini tena,nifanyeje ndugu zangu
mkuu
pole sana. kweli dunia ina mambo??
Nakushauri umsamehe, umepoteza vingi juu yake, na zaidi anakujali sana tu. Inawezekana alipata mtu wa kumdanganya, ndio maana akafanya jambo la kijinga.
Mpe nafasi nyingine. hakuna binadamu aliye sawa (perfect). wengine wanayafanya haya wakiwa ndani ya ndoa.. Lakini give her a chance..
Ukimsamehe toka moyoni, Mungu ni mwema, atarekebisha uhusiano wenu..Kwenye mahusiano kuna mambo mengi sana, ukitaka kuchukua hatua kwa kila tukio, utakufa mapema.
Wanadamu tuko hoi siku zote, pamoja na Mungu kutuma hata Mwanaye, lakini mambo bado sio mazuri kote misikitini na makanisani. MSAMEHE.
Siafiki wala kuunga mkono ujinga wake huyo dada, isipokuwa wanadamu tunateleza sana, kama sio leo basi ni kesho. She is yours, unamjua vizuri sana na yeye vivyo.. Nakuhakikishia kuwa atakuwa na heshima kuliko wakati mwingine wowote..Mshirikishe Mungu katika uamuzi wake.
thanks
well said sijui wakaka munaingiaje kwenye mtego huu wa kutusomesha.Mimi nilishawaambia kaka zangu wafanye yote ila sio kumsomesha mwanamke university.Dah, labda ni mimi tu au..lakini sijawahi ku-imagine kumlipia demu ada ya shule au kitu chochote cha dizaini hiyo. Ukifanya mambo kama hayo mambo yakienda kombo ndio inakuaga kama hivi. Cha kufanya tafuta kitu cha nguvu achana na huyo sunguramatope.
good point, follow your haert....follow your heart, msamehe lakini usirudiane nae.
well said sijui wakaka munaingiaje kwenye mtego huu wa kutusomesha.Mimi nilishawaambia kaka zangu wafanye yote ila sio kumsomesha mwanamke university.
well said sijui wakaka munaingiaje kwenye mtego huu wa kutusomesha.Mimi nilishawaambia kaka zangu wafanye yote ila sio kumsomesha mwanamke university.
haaah haaah we Lizy lolJamani si wanawaendeleza watarajiwa wao!!Ndivyo wanavyoamini anyway..mpako mambo yanapogeuka ndo wanajua walikua mtaji tu na faida haiwahusu!
kama ulifanikiwa kumuacha na kumsahau shukuru mungu kaka mana kumuacha umpendae hata kama hujamlipia chochote ni kazi nguvu yenye maumivu, nakushauri muepuke tu ili ubaki na aman moyoni.waungwana! nilikuwa na mchumba,toka mwaka 2004,nikamtoa form four na sasa anamalizia degree ya education mwezi wa sita mwaka huu,mwaka jana mara tu baada ya kumlipia ada ya mwaka wa mwisho,kesho yake akani sms kuwa alikuwa hanipendi na alikuwa anataka tu asome! kijana nikaamua kuwa cool kwa kuwa nshapoteza pesa nyingi vibaya kwa huyu she,lakini katika masiku ya karibuni baada ya kupigika vibaya kwa mwanaume alokuwa nae eti sasa anataka kurudi kwangu na wakati hata pate yangu ya uchumba alishaitupa,na kamwe siwezi kumuamini tena,nifanyeje ndugu zangu
Kwani huyo dada alimkopa?Mpigie mahesabu ya gharama yote uliyotoa kumsomesha na mara apatapo kazi aanze kurejesha kidogo kidogo kwa kumkata ktk mshahara wake.