Nisaidieni wana jf.

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,437
Reaction score
4,618
Am going 32 in some coming months now. I'm not married but i have a kid, it happened that am moving with a certain lady hapa mjini leo muda huu saa nne usiku nimepiga simu yake zaidi ya mara tano and the phone was just busy napiga mara ya sita nikakuta iko off nikaamua kumpigia room mate wake, room mate wake akaniambia amekuja home lakini alitoka nilivyokata simu tu naye akapiga na kunikaripia sana kwenye simu eti kwanini napigia watu simu kumtafuta na kuniita STUPID. Jamani nimeishiwa nguvu.

Isije kuwa ulimuudhi before, haiwezekani asipokee simu yako na akujibu kwa ukali. Hebu kuwa mkweli kidogo kaka..

Isije kuwa ulimuudhi before, haiwezekani asipokee simu yako na akujibu kwa ukali. Hebu kuwa mkweli kidogo kaka..

Mayasa, huwezi amini. sijaficha chochote, nothing jamani. hivi mimi nimemkosea nini Mungu tu!

so painfull budy

not at all....
Labda ulipaswa kujifunza how women think kabla
hujaanza ku deal nao.....

But nikupe tips moja....usipende kuwapigia pigia simu saana..
Weka mazingira ya wao kukupigia wewe simu.....na sio wewe kutwa kupiga

Zingatia hili kijana!

Ushauri wa kweli lakini mgumu sana. huu ndio ukweli, the world is just a tough place.

wewe move foward utapata mwingine mbna wapo wa kumwaga tu. Au toa Tangazo hapa Jf.

The boss! nimependa sana ushauri wako. tena sana, i just had a married intention, and was really obsesed with her. nahisi nimechanganyikiwa hata sijui naandika nini.

wewe move foward utapata mwingine mbna wapo wa kumwaga tu. Au toa Tangazo hapa Jf.

Please mkuu dont joke. yemenikuta mkuu. inauma sana m2 wangu. hawa viumbe hapana. kabisa! hapana. sitaki hataki kusikia

Ushauri wa nini hapo wakt kesha kuacha? Unataka mpaka umkute mwenzio kabisa?

Ukweli lakini sitaki hata kuamini. am just starting to hate women! so painfull grrr!!!!.

the boss! Nimependa sana ushauri wako. Tena sana, i just had a married intention, and was really obsesed with her. Nahisi nimechanganyikiwa hata sijui naandika nini.

mkuu hilo ndo sababu
sio kila mwanamke anajua kupendwa kukoje
wengine wanataka uwe ngangari hivi,usionyeshe hisia sana
usijisahau.....
So cha kufanya tafuta mwingine wa haraka wa kuzugia kwanza
wa kukupa kampani...huku unatafakari...itasaidia....
Halafu jipange upya...
Anza kujipenda mwenyewe zaidi...

The boss asante ndugu yangu.

not at all....
Labda ulipaswa kujifunza how women think kabla
hujaanza ku deal nao.....

But nikupe tips moja....usipende kuwapigia pigia simu saana..
Weka mazingira ya wao kukupigia wewe simu.....na sio wewe kutwa kupiga
the boss,ukimpenda mtu,unapenda uwe unaongea nae mara kwa mara,inaweza ikawa ni kero fulani,ila kwa kuwa upo so in love hilo kero unakuwa hulioni

pole mla chake,hizo ndio dalili za kuanza kutemwa,na kuna dalili nyengine zaidi zinakuja,anza kuikubali hali taratibu

pole mkuu najua leo hakulaliki hapo kila simu ikiita utahisi yeye ndo anakutafuta!majibu aliokupa unatamani iwe ndoto ila ndo ukweli hapo jichenge tu mkuu!kuachwa hakuzoeleki ni kupiga tu moyo konde!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…