Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,437
- 4,618
Am going 32 in some coming months now. I'm not married but i have a kid, it happened that am moving with a certain lady hapa mjini leo muda huu saa nne usiku nimepiga simu yake zaidi ya mara tano and the phone was just busy napiga mara ya sita nikakuta iko off nikaamua kumpigia room mate wake, room mate wake akaniambia amekuja home lakini alitoka nilivyokata simu tu naye akapiga na kunikaripia sana kwenye simu eti kwanini napigia watu simu kumtafuta na kuniita STUPID. Jamani nimeishiwa nguvu.