Nisaidieni wazo asome nini nawapi kwa haya matokeo?

Nisaidieni wazo asome nini nawapi kwa haya matokeo?

kiwega

Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
8
Reaction score
3
Nina mdogowangu alipata div.four ya 40 Ana c yakiswahil d ya English f ya mathematics na e ya hist, na geog.
Nisaidieni wazo asome nini nawapi? Jatakama ni intake yanext year nisawa.
Kureseat hataki..
Natanguliza shukrani wakuu
 
Aksante nzuri pesa..
Samahani wanatoa mafunzo gani hao..
Kama utaweza nisaidie website yao tafadhali..
 
Back
Top Bottom