X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Nitakacho mshauri mwanamke ni tofauti na nitakacho mshauri mwanaume...but achana na hayo pengine uliomba ushauri kufurahisha genge...siku njema
Mm ni keNitakacho mshauri mwanamke ni tofauti na nitakacho mshauri mwanaume...but achana na hayo pengine uliomba ushauri kufurahisha genge...siku njema
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi pambana na hali yako!
Una miaka mingap na huyo bf ndio baba mtt?!
Nna miaka 30 bf wangu sie baba mtotoUna miaka mingap na huyo bf ndio baba mtt?!
Mwambie bf wako akuoe tu
Kwann hamuishi pa1 sasa?!umri wako nadhani unahitaji majukumu makubwa zaidi ya kuwa na mtu kama bf tu
Ni kweli usemayo lkn aaaa ndoa ina mengiKwann hamuishi pa1 sasa?!umri wako nadhani unahitaji majukumu makubwa zaidi ya kuwa na mtu kama bf tu
Sema tu hujampenda huyo mwanaume ndio maana suala la ndoa unaliona tatizo
Chanzo cha kukosa furaha ni kipi Single motherHali zenu wanajf natumai nyote hamjambo.....nisaidieni mwenzenu nisiwe na mawazo mda wote nakosa raha sili nkashiba silali kwa raha nnachotaka sikijui naona vurugu tuuu pesa ipo bf yupo mtoto nnae sasa sijui nna nini.....
Nisaidieni waungwana........maneno ruksa macho yangu tuu nibakishieni......
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sijui mi naona naona tuuuChanzo cha kukosa furaha ni kipi Single mother
Usiendekeze hiyo hali, choose to be happy
Bf ndio nini ndugu yangu....mwalimu gani amekufundisha hilo neno BF¿