Nisaidieni

Nisaidieni

Penda ndugu zako penda mafundisho ya dini ndio kuna amani ya moyo mkuu
 
Pole sana Single mother naona unashauriwa ndoa hutaki unakomaa tu
 
Hali zenu wanajf natumai nyote hamjambo.....nisaidieni mwenzenu nisiwe na mawazo mda wote nakosa raha sili nkashiba silali kwa raha nnachotaka sikijui naona vurugu tuuu pesa ipo bf yupo mtoto nnae sasa sijui nna nini.....
Nisaidieni waungwana........maneno ruksa macho yangu tuu nibakishieni......

Sent using Jamii Forums mobile app
Chanzo cha kukosa furaha ni kipi Single mother
 
Back
Top Bottom