My Young never be like a pupil, maadam umeamua kuisomea faculty hiyo piga ukisha maliza basi tafuta kazi kama ukikosa kazi basi tafuta short courses ambazo unadhani ungetaka ufanye kazi kupitia hizo, nakupa mfano, rafiki yangu mmoja alichukua sheria alipotafuta kazi akakosa akaamua kwenda kusoma mambo ya International Relations pale kurasini mwaka mmoja leo anafanya kazi pale foreign Affairs kupitia course ya pili lkn anajulikana ni Graduate, usikate tamaa, you are one of winners,acha kuwa Kihiyo kufikiria pesa soma,"Fimbo uliyonayo ndiyo itaua hako kanyoka".