niwaellyester1
Senior Member
- Sep 7, 2010
- 123
- 22
me nasoma sociology, bachelor mwaka wapili sasa, ila ninaambiwa hii kitu haina kazi inamaana me nasoma bure? au kama kuna mtu ana uzoefu na kazi za sociologist anipe hopes kidogo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kasema utakosa kazi wewe. mbona unakuwa na mashaka yasiyo ma msingi?me nasoma sociology, bachelor mwaka wapili sasa, ila ninaambiwa hii kitu haina kazi inamaana me nasoma bure? au kama kuna mtu ana uzoefu na kazi za sociologist anipe hopes kidogo,
me nasoma sociology, bachelor mwaka wapili sasa, ila ninaambiwa hii kitu haina kazi inamaana me nasoma bure? au kama kuna mtu ana uzoefu na kazi za sociologist anipe hopes kidogo,
Nani kasema utakosa kazi wewe. mbona unakuwa na mashaka yasiyo ma msingi?
Mbona kuna bodies kibao zinazofanya researches za masuala ya jamii mashaka ya nini??
After all si lazima ufanye kazi za fani hiyo. sio?
me nasoma sociology, bachelor mwaka wapili sasa, ila ninaambiwa hii kitu haina kazi inamaana me nasoma bure? au kama kuna mtu ana uzoefu na kazi za sociologist anipe hopes kidogo,
you are very expert bro!Nani kasema utakosa kazi wewe. mbona unakuwa na mashaka yasiyo ma msingi?