Nisamehe ya Baraka da prince na Ally Kiba ni wimbo mbaya kupindukia

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Nina utaratibu kwamba nikiisikia nyimbo kwa mara ya kwanza kama sijaupenda basi usitegemee ntaupenda tena,yaani nilivo huwa sio mtu wa kulazimishwa kama watu wengine ambao ili aupende wimbo ni lazima asikilize mara nyingi ndio ataupenda(wanakalilishwa hadi wanakalili).jana niliposikiliza nyimbo yao hiyo kiukweli ni mbaya saaaaana,midundo ni mibovu na hata sauti zao ni mbovu kupindukia hata Hawasikiki maana ni full sound effect.sasa kwa hali hii tutashindana na akina wizkid,dovido kweli?
 
Ebu jaribu kuimba tusikie
 
Ila kuna watu wana chuki binafsi.
Kuna wimbo usio na sound effects?
Au mapovu tu?
Wimbo hauna sound effects za kuumiza audibility
Reverb iko poa na mengine sasa hizo sound effects sizielew wallah
 
Nina utaratibu kwamba nikiisikia nyimbo kwa mara ya kwanza kama sijaupenda basi usitegemee ntaupenda tena,yaani nilivo huwa sio mtu wa kulazimishwa kama watu wengine ambao ili aupende wimbo ni lazima asikilize mara nyingi ndio ataupenda(wanakalilishwa hadi wanakalili).jana niliposikiliza nyimbo yao hiyo kiukweli ni mbaya saaaaana,midundo ni mibovu na hata sauti zao ni mbovu kupindukia hata Hawasikiki maana ni full sound effect.sasa kwa hali hii tutashindana na akina wizkid,dovido kweli?
We mtu nilikumiss.....au siku hizi umehamia kune siasa?
 
mi mwenyewe napenda sana nyimbo za baraka lakini nimeupakua asubuhi
kiukweli sio mzuri wala sijaupenda
 
Nina utaratibu kwamba nikiisikia nyimbo kwa mara ya kwanza kama sijaupenda basi usitegemee ntaupenda tena,yaani nilivo huwa sio mtu wa kulazimishwa kama watu wengine ambao ili aupende wimbo ni lazima asikilize mara nyingi ndio ataupenda(wanakalilishwa hadi wanakalili).jana niliposikiliza nyimbo yao hiyo kiukweli ni mbaya saaaaana,midundo ni mibovu na hata sauti zao ni mbovu kupindukia hata Hawasikiki maana ni full sound effect.sasa kwa hali hii tutashindana na akina wizkid,dovido kweli?
lazima utakua team mond
 
Sipendi nyimbo za wazungu, ila hold up wa Beyonce umenikosha........what sup what sup what sup
 
Back
Top Bottom