Nisamehe ya Baraka da prince na Ally Kiba ni wimbo mbaya kupindukia

Nisamehe ya Baraka da prince na Ally Kiba ni wimbo mbaya kupindukia

lazima utakua team mond
Sina team,na hata hapa nishawahi kuweka uzi huu kukemea mambo ya team kwenye muziki,,lakini pia hata huyo diamond nishaweka uzi hapahapa nikijiuliza hivi watu wanapendea nini muziki wake mbona ni mibovu,,mimi sishabikii msanii bali naangalia wimbo
basi ushafeli ndugu pole! nyimbo nzuri labda we unaipima kwann ?badirika bas
 
Sina team,na hata hapa nishawahi kuweka uzi huu kukemea mambo ya team kwenye muziki,,lakini pia hata huyo diamond nishaweka uzi hapahapa nikijiuliza hivi watu wanapendea nini muziki wake mbona ni mibovu,,mimi sishabikii msanii bali naangalia wimbo
habari ndo hiyo mziki mzuri sasa he! tusiseme
 
habari ndo hiyo mziki mzuri sasa he! tusiseme
Khaa,haya maana kila mtu na upendo wako ila pole kwa kutojua muziki,siku ukisikiliza miziki mizuri utajilaumu sana ulichelewa wapi na utagundua kwamba ulikuwa ni mshamba
 
Duh! Usanii kazi sana, kumbe umebeba na maskio ya watu wengn mkuu au unatushawishi wote tuuone mbaya... Ofcoz m mwnyew cjaupend lkn sidhan km thread hii ilipaswa kuanzishwa kwa malengo yapi kwa mfano
 
Sina team,na hata hapa nishawahi kuweka uzi huu kukemea mambo ya team kwenye muziki,,lakini pia hata huyo diamond nishaweka uzi hapahapa nikijiuliza hivi watu wanapendea nini muziki wake mbona ni mibovu,,mimi sishabikii msanii bali naangalia wimbo
nashukuru kwa ufafanuzi,nachukia sana uteam
 
Wimbo haueleweki,wameingiza tu sauti!Sijaona ufundi wowote
 
mi naiependa ya baraka da prince,ben paul na Mr blue...jaman blue hatar kamchana x wake asione wivu eti wake steve..nkajisemea Naj si yuko na baraka vijembe gani hvi jaman.
 
Ukwel kabisa. Nyimbo mbaya ila clouds wataupa airtime sn lkn hamna ki2 kwakwel.
 
Nina utaratibu kwamba nikiisikia nyimbo kwa mara ya kwanza kama sijaupenda basi usitegemee ntaupenda tena,yaani nilivo huwa sio mtu wa kulazimishwa kama watu wengine ambao ili aupende wimbo ni lazima asikilize mara nyingi ndio ataupenda(wanakalilishwa hadi wanakalili).jana niliposikiliza nyimbo yao hiyo kiukweli ni mbaya saaaaana,midundo ni mibovu na hata sauti zao ni mbovu kupindukia hata Hawasikiki maana ni full sound effect.sasa kwa hali hii tutashindana na akina wizkid,dovido kweli?
chuki pia ni aina ya uchawai tambua
 
Back
Top Bottom