juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
- Thread starter
- #21
Sina team,na hata hapa nishawahi kuweka uzi huu kukemea mambo ya team kwenye muziki,,lakini pia hata huyo diamond nishaweka uzi hapahapa nikijiuliza hivi watu wanapendea nini muziki wake mbona ni mibovu,,mimi sishabikii msanii bali naangalia wimbolazima utakua team mond
basi ushafeli ndugu pole! nyimbo nzuri labda we unaipima kwann ?badirika bas