juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Ebu jaribu kuimba tusikieNina utaratibu kwamba nikiisikia nyimbo kwa mara ya kwanza kama sijaupenda basi usitegemee ntaupenda tena,yaani nilivo huwa sio mtu wa kulazimishwa kama watu wengine ambao ili aupende wimbo ni lazima asikilize mara nyingi ndio ataupenda(wanakalilishwa hadi wanakalili).jana niliposikiliza nyimbo yao hiyo kiukweli ni mbaya saaaaana,midundo ni mibovu na hata sauti zao ni mbovu kupindukia hata Hawasikiki maana ni full sound effect.sasa kwa hali hii tutashindana na akina wizkid,dovido kweli?
We mtu nilikumiss.....au siku hizi umehamia kune siasa?Nina utaratibu kwamba nikiisikia nyimbo kwa mara ya kwanza kama sijaupenda basi usitegemee ntaupenda tena,yaani nilivo huwa sio mtu wa kulazimishwa kama watu wengine ambao ili aupende wimbo ni lazima asikilize mara nyingi ndio ataupenda(wanakalilishwa hadi wanakalili).jana niliposikiliza nyimbo yao hiyo kiukweli ni mbaya saaaaana,midundo ni mibovu na hata sauti zao ni mbovu kupindukia hata Hawasikiki maana ni full sound effect.sasa kwa hali hii tutashindana na akina wizkid,dovido kweli?
mkuu usinikalili,sitabilikiWe mtu nilikumiss.....au siku hizi umehamia kune siasa?
Nenda kaupakue mkito nasikia upo,mkuu utaleta mrejeshoHebu tupia huo wimbo tuone kama yaliyomo yamo ama chuki binafsi
Kwa kwel itabd niache...mkuu usinikalili,sitabiliki
sawa ngoja tuone.....ila kwangu niwe mkweli hapanaausio ..........
Inategemea ulikua katika mudi gani hakuna nyimbo ambayo king kiba yundani na isibambe
team diamond bwanasawa ngoja tuone.....ila kwangu niwe mkweli hapana
Mkuu usikalili mambo,sio kila anaesema wimbo wa kiba ni mbaya basi ni team mond,sisi wengine hatupendi msanii bali tunapenda muziki,team diamond bwana
basi ushafeli ndugu pole! nyimbo nzuri labda we unaipima kwann ?badirika basMkuu usikalili mambo,sio kila anaesema wimbo wa kiba ni mbaya basi ni team mond,sisi wengine hatupendi msanii bali tunapenda muziki,
lazima utakua team mondNina utaratibu kwamba nikiisikia nyimbo kwa mara ya kwanza kama sijaupenda basi usitegemee ntaupenda tena,yaani nilivo huwa sio mtu wa kulazimishwa kama watu wengine ambao ili aupende wimbo ni lazima asikilize mara nyingi ndio ataupenda(wanakalilishwa hadi wanakalili).jana niliposikiliza nyimbo yao hiyo kiukweli ni mbaya saaaaana,midundo ni mibovu na hata sauti zao ni mbovu kupindukia hata Hawasikiki maana ni full sound effect.sasa kwa hali hii tutashindana na akina wizkid,dovido kweli?