Nisamehe ya Baraka da prince na Ally Kiba ni wimbo mbaya kupindukia

Alishazoe kuandikiwa na lolypop nyimbo unatarajiaje ngoma itakuwa kali
 
mi naiependa ya baraka da prince,ben paul na Mr blue...jaman blue hatar kamchana x wake asione wivu eti wake steve..nkajisemea Naj si yuko na baraka vijembe gani hvi jaman.
Wimbo gan huo wa blue kasema ivyo
 
nashukuru kwa ufafanuzi,nachukia sana uteam
af sijui inakuwaje unakuta jitu linamiaka 25 linakuwa kama toto kufatilia team yupo tayar kutukana tusi la mama kisa msanii wake kapondwa inaboa
 
Nyimbo mbovu hii bora inodae ni nzuri na cjui kwa nn hakuipa promo inodae
 
Jamani ule wimbo ni mbaya kias kwamba nimeuskiliza jana saa sita nilichelewa hadi kulala yaan usingizi uligoma hadi saa kumi hivi. Promo iliuzidi wimbo

*ukweli utatuweka huru
 
Jamani ule wimbo ni mbaya kias kwamba nimeuskiliza jana saa sita nilichelewa hadi kulala yaan usingizi uligoma hadi saa kumi hivi. Promo iliuzidi wimbo

*ukweli utatuweka huru
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe uliusikiliza maana uliuona mbaya kabla ya kuusikiliza. Pole kwa usingizi kugoma
 
Mbaya kama takataka tu!!!yani ckutegemea kabisa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe uliusikiliza maana uliuona mbaya kabla ya kuusikiliza. Pole kwa usingizi kugoma
Hahaha
Mi uwa naamini taste zako Mrs Van, ulipo sema, wimbo una walakin nika amini, nilipo sikiliza nikahisi kumbe hata wewe uli wasitiri kidogo kina da prince wimbo hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…