Mkuu usikalili mambo,sio kila anaesema wimbo wa kiba ni mbaya basi ni team mond,sisi wengine hatupendi msanii bali tunapenda muziki,
Hujui muziki,so sikulazimishiUzuri ni relative , kwangu huu wimbo toka jana nausikiliza uko powa sana
We mpaka hapa ni team dimond unasikia wivu kiba anavyowabeba vijana wimbo uko poa mwanzo mwishoHujui muziki,so sikulazimishi
Hakuna kituWe mpaka hapa ni team dimond unasikia wivu kiba anavyowabeba vijana wimbo uko poa mwanzo mwisho
Kwahiyo unalialia nn umelazimishwaNina utaratibu kwamba nikiisikia nyimbo kwa mara ya kwanza kama sijaupenda basi usitegemee ntaupenda tena,yaani nilivo huwa sio mtu wa kulazimishwa kama watu wengine ambao ili aupende wimbo ni lazima asikilize mara nyingi ndio ataupenda(wanakalilishwa hadi wanakalili).jana niliposikiliza nyimbo yao hiyo kiukweli ni mbaya saaaaana,midundo ni mibovu na hata sauti zao ni mbovu kupindukia hata Hawasikiki maana ni full sound effect.sasa kwa hali hii tutashindana na akina wizkid,dovido kweli?
Hata mm cjawahi ona kiba Ana sauti tamu Sanaausio ..........
Inategemea ulikua katika mudi gani hakuna nyimbo ambayo king kiba yundani na isibambe
Ukishakuwa na team kwenye muziki basi sibishani na wewe,nishakujua kumbe nabishana na mrugarugaWe mpaka hapa ni team dimond unasikia wivu kiba anavyowabeba vijana wimbo uko poa mwanzo mwisho
Nenda ukosasa kama wew huupendi unatuambia sis ili tufanye nin wewe, nasis tukuige wew au! mziki ni skio na kila mmoja analake bhana we vp