GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na huo Utahaira nimeurithi kwa 'Babaako' au leo umesahau? Pumbavu.Yaani huyo taahira ndy tegemea lenu ninyi MAMBUMBUMBU??
Yawezekana nina 'Hidden Followers' wengi sana hapa JamiiForums kuliko hawa 'Followers' wangu 65+ ninaowajua.Vyura wape mdomo tu nasubr uzi wa GENTAMYCINE nafkr yuko chimbo anaandka uzi mmoja mrefu na matata sana
Tayari mpira umeisha kabebeni kombe na manara. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpaka sasa Manara 4 MO 1
DAKIKA YA 89
Manara anasema anamzidi umaarufu Mo.....najiuliza kigezo gani kimetumika....Sijui mkuu hayo maswali muulize mo na manara wenyewe. Hapo mi nilichopinga ni hiyo kusema flani hawezi kitu flani. Isemee nafsi yako sio kumsemea mwingine ilhali nae ni binadamu.
Mo anapenda kupewa attention mzee hilo halina ubishi. Ndio maana nkasema yawezekana ni kweli pia.
cc Aden RageNawaza akiamua kuwa msemaji kama shabiki kabla ya mechi nani atasikilizwa zaidi na mashabiki wa soka? Msemaji wa simba au shabiki manara?
Mimi huyu niache kushabikia simba kisa Haji?[emoji3][emoji3][emoji3]mauche aende!Team Simba damuSimba the next level.Simba imesimama imara,waliomtuma Manara waambieni wameshindwa na wamelegea kwa jina la Simba.
Usisahau mtaji wake ni watu, wafuasi huko youtube, instergram n.k. dili zake zote zinaanzia hapo.Hapo atakuwa anaendeleza ujinga alio nao yaani akatae kuwa msemaji kwa 700,000/= kwa mwezi halafu awe msemaji wa bure. Simba watafurahi sana.
Ndio nasema akiweza yeye aendelee kufanya hivyo bure kama wenzake wengi tu wanavyofanya huko mitandaoni lakini asije akaenda Simba kudai mshahara na asije akazungumzia tu mambo ambayo yataivurga timu na taassisi ya Simba kiujumla wake.Usisahau mtaji wake ni watu, wafuasi huko youtube, instergram n.k. dili zake zote zinaanzia hapo.
Shabiki hana mipaka wake mdomo mradi asivunje sheria za nchi. Mshahara wake mashabiki wake na wafuasi. Kwani unadhani kwann kamvimbia tajiri MO? Mshahara wa laki saba wengine wanalamba viatu vya mabosi.Ndio nasema akiweza yeye aendelee kufanya hivyo bure kama wenzake wengi tu wanavyofanya huko mitandaoni lakini asije akaenda Simba kudai mshahara na asije akazungumzia tu mambo ambayo yataivurga timu na taassisi ya Simba kiujumla wake.
Acha kuhemkwaUtopolo hamnazo
Nadhani ni kimojawapo alichokitumia.Manara anasema anamzidi umaarufu Mo.....najiuliza kigezo gani kimetumika....
Followers instagram?
Sidhani kama anamzidi.....Nadhani ni kimojawapo alichokitumia.
Mo mfanyabiashara manara alikua mhamasishaji klabuni, hata kwa kuangalia tu mkuu manara alikua maarufu hapo kuliko Mo. Umaarufu ninaouzungumzia hapa ni ile manara akisema kitu na Mo akisema kitu kipi kitaenda sana mkuu??.Sidhani kama anamzidi.....
Hata kama kigezo kikiwa ni followers.
Twitter MO ana 1.2M manara akiwa na 82k
Instagram MO ana 2.7 manara akiwa na 3.3M
Hapo utaona watu wengi waliomfollow manara ni wa namna gani......