Niseme jambo kuhusu Manara

Niseme jambo kuhusu Manara

Vyura wape mdomo tu nasubr uzi wa GENTAMYCINE nafkr yuko chimbo anaandka uzi mmoja mrefu na matata sana
Yawezekana nina 'Hidden Followers' wengi sana hapa JamiiForums kuliko hawa 'Followers' wangu 65+ ninaowajua.

Asante sana Mwenyezi Mungu kwa kuniumba na kunifanya GENTAMYCINE kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" hivi duniani na hapa Mtandaoni.
 
Sijui mkuu hayo maswali muulize mo na manara wenyewe. Hapo mi nilichopinga ni hiyo kusema flani hawezi kitu flani. Isemee nafsi yako sio kumsemea mwingine ilhali nae ni binadamu.

Mo anapenda kupewa attention mzee hilo halina ubishi. Ndio maana nkasema yawezekana ni kweli pia.
Manara anasema anamzidi umaarufu Mo.....najiuliza kigezo gani kimetumika....
Followers instagram?
 
Simba the next level.Simba imesimama imara,waliomtuma Manara waambieni wameshindwa na wamelegea kwa jina la Simba.
Mimi huyu niache kushabikia simba kisa Haji?[emoji3][emoji3][emoji3]mauche aende!Team Simba damu
 
Hapo atakuwa anaendeleza ujinga alio nao yaani akatae kuwa msemaji kwa 700,000/= kwa mwezi halafu awe msemaji wa bure. Simba watafurahi sana.
Usisahau mtaji wake ni watu, wafuasi huko youtube, instergram n.k. dili zake zote zinaanzia hapo.
 
Usisahau mtaji wake ni watu, wafuasi huko youtube, instergram n.k. dili zake zote zinaanzia hapo.
Ndio nasema akiweza yeye aendelee kufanya hivyo bure kama wenzake wengi tu wanavyofanya huko mitandaoni lakini asije akaenda Simba kudai mshahara na asije akazungumzia tu mambo ambayo yataivurga timu na taassisi ya Simba kiujumla wake.
 
Shabiki hana mipaka wake mdomo mradi asivunje sheria za nchi. Mshahara wake mashabiki wake na wafuasi. Kwani unadhani kwann kamvimbia tajiri MO? Mshahara wa laki saba wengine wanalamba viatu vya mabosi.
 
Ally Mayai hawezi andika upuuzi wa aina hii
 
Nadhani ni kimojawapo alichokitumia.
Sidhani kama anamzidi.....
Hata kama kigezo kikiwa ni followers.
Twitter MO ana 1.2M manara akiwa na 82k
Instagram MO ana 2.7 manara akiwa na 3.3M
Hapo utaona watu wengi waliomfollow manara ni wa namna gani......
 
Mo mfanyabiashara manara alikua mhamasishaji klabuni, hata kwa kuangalia tu mkuu manara alikua maarufu hapo kuliko Mo. Umaarufu ninaouzungumzia hapa ni ile manara akisema kitu na Mo akisema kitu kipi kitaenda sana mkuu??.
Mitandaon alikua hataniwi Mo, mtani wao mkuu alikua ni manara, jamaa alijijengea umaarufu sana kwa hiyo career yake.
 
Back
Top Bottom