Niseme Nisiseme, Mkubwa na Wanawe (Gospel Version)

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,774
Kuna watu wameimba kwaya kwa kwa kukopi kila kitu kutoka katika huu wimbo, je wamepata uhalali wa kufanya hivyo? Au ndio kibongo bongo mazoea?
Natumia cm nikakaa kwenye pc nitauweka huo wimbo hapa, au kama kuna mtu anao aweke
 
Nimeisikia Na Nyimbo Ya King Ally Kiba Ya Mwana DSM Imeimbwa Na Jamaa Mwingine
Sasa Sijui Inakuwaje Hii?
 
sijajua hii stlye ya wana wa nuru kucopy kwa wana wa giza .Hekima inahitajika hapa ngoja kina mzee wa upako waje watusaidie hii imekaaje.Binafsi naona hawa watu wa ulimwenguni wanatakiwa waige kwa watumishi wa Mungu.Big up kwa waloimba nina baba yangu asiyeshindwa kamwe,utamu wa Yesu,
 
Kuna watu wameimba kwaya kwa kwa kukopi kila kitu kutoka katika huu wimbo, je wamepata uhalali wa kufanya hivyo? Au ndio kibongo bongo mazoea?
Natumia cm nikakaa kwenye pc nitauweka huo wimbo hapa, au kama kuna mtu anao aweke

sasa si ungesubir pia ukae kwenye PC ndio utoe huu uzi!' kulikua kuna ulazima gani wakuharakisha, wengine hatujausikia .........

Grand PA
 
Kuna watu wameimba kwaya kwa kwa kukopi kila kitu kutoka katika huu wimbo, je wamepata uhalali wa kufanya hivyo? Au ndio kibongo bongo mazoea?
Natumia cm nikakaa kwenye pc nitauweka huo wimbo hapa, au kama kuna mtu anao aweke

Nimeisikia ila wajue Mungu hadhihakiwi wataisoma muda si mrefu na vituo vyote vinavyoipa promo ile singo
 
Back
Top Bottom