[emoji28][emoji28]hawa wa humu sio malaika ndo hao wa mitaani,kazini,ofisini,n.k!!!ameongea kwwli tupu, wanawake wa humu tunawajua kwa mwandiko, mbea, mchonganishi, kicheche, jeuri nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikasema kwa kua ni watani wa jadi basi acha tusubiri mada zingine zaidi kama hizi, wakati huo watani wakigombana wapambe tunaenda kulima na wakipatana basi tunaenda kuvuna.
it's kinda funny though.
Sent using Jamii Forums mobile app
inachoma sana, wengi wameguswa...
japo kuna wapo wanawake wa maana sana humu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28]hawa wa humu sio malaika ndo hao wa mitaani,kazini,ofisini,n.k!!!
Mhimu maisha yaendelee tuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa...nakupata vizuri ujue.Niongee nini naameshasema yote kwenye kila neno mwanamke weka mwanaume.
Humu kama wapo watu serious niwanahesabika
Wengi hawajiamini wanahasira kujitambua ni shida pia wanakuhukumu mapema .
Akikukuta simu busy unaongea nanani au umeanza umalaya .
Dah maisha sio humu.
Kuna mtu kanipa ushauri kipindi natafuta mtu humu nasio yeye tu.
Na baadhi ya wanawake.
Ushauri walionipa 2019 ndio nitatekeleza.
Basiii kwa maana humu kuna mtu kasemaje mtu akitafuta mchumba humu ni hana akili hajakosea so kamkashifu mtoa mada .
Ndio naambiwa hapa... nilikua sijaifumania.Mirejesho ipo ya jinsia zote mzee mama labda haujaiona tu.
Na wewe upo namba ngapi ?🤣🤣🤣
Sawa sawa mzee baba.Kuumizwa ni popote, usipoumia hapa utaumia pale ama kulee
Oouh.inachoma sana, wengi wameguswa...
japo kuna wapo wanawake wa maana sana humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa.
Kuhusu kuomba radhi sijui km mmekosea wengi maana nnaowajua hawazidi 10 wake kwa waume !!!niliomba radhi kwa thread zangu ila sio vingine!ni kweli kabisa lakini kumbuka hajasema wanawake wa jf bali wengi wa mmu.
nakumbuka uliomba wana jf msamaha labda ulijigundua umezidi kuwaumiza wengi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh mkuu
kama wapo 10 je uliwaenda hata pm kumalizana nao?Ndo maana mmesema sio malaika hata mazingira mengine wapo waungwana na washenzi pia ni maisha yalivyoKuhusu kuomba radhi sijui km mmekosea wengi maana nnaowajua hawazidi 10 wake kwa waume !!!niliomba radhi kwa thread zangu ila sio vingine!
Sent using Jamii Forums mobile app
Km Mimi mkuuHahahhahahhahHaha low profile ndiyo akina nani mkuu?
Kumalizana nao kivipi?nnavoanzisha thread mfano km hv gudume yaweza kua kamlenga mtu au hajamlenga mtu sasa mfano akihisi kakosea atafata pm wangapi?kuwaomba radhi[emoji28][emoji28][emoji28]ktk niliomeet nao I don't think yupo niliyemkosea