Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Ndio maana nikasema kwa kua ni watani wa jadi basi acha tusubiri mada zingine zaidi kama hizi, wakati huo watani wakigombana wapambe tunaenda kulima na wakipatana basi tunaenda kuvuna.

it's kinda funny though.

Sent using Jamii Forums mobile app

It is kinda funny.....

Kwa sababu hamnaga jipya.

Sentiments na grievances huwa ni zile zile tu.

Wanachofanyaga ni kuzi-recycle tu, basi.
 
ni kweli kabisa lakini kumbuka hajasema wanawake wa jf bali wengi wa mmu.
nakumbuka uliomba wana jf msamaha labda ulijigundua umezidi kuwaumiza wengi kwa unafiki wako[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28]hawa wa humu sio malaika ndo hao wa mitaani,kazini,ofisini,n.k!!!

Mhimu maisha yaendelee tuu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niongee nini naameshasema yote kwenye kila neno mwanamke weka mwanaume.
Humu kama wapo watu serious niwanahesabika
Wengi hawajiamini wanahasira kujitambua ni shida pia wanakuhukumu mapema .
Akikukuta simu busy unaongea nanani au umeanza umalaya .
Dah maisha sio humu.
Kuna mtu kanipa ushauri kipindi natafuta mtu humu nasio yeye tu.
Na baadhi ya wanawake.
Ushauri walionipa 2019 ndio nitatekeleza.
Basiii kwa maana humu kuna mtu kasemaje mtu akitafuta mchumba humu ni hana akili hajakosea so kamkashifu mtoa mada .
Sawa sawa...nakupata vizuri ujue.
 
Ndo maana mmesema sio malaika hata mazingira mengine wapo waungwana na washenzi pia ni maisha yalivyo
ni kweli kabisa lakini kumbuka hajasema wanawake wa jf bali wengi wa mmu.
nakumbuka uliomba wana jf msamaha labda ulijigundua umezidi kuwaumiza wengi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu kuomba radhi sijui km mmekosea wengi maana nnaowajua hawazidi 10 wake kwa waume !!!niliomba radhi kwa thread zangu ila sio vingine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana mmesema sio malaika hata mazingira mengine wapo waungwana na washenzi pia ni maisha yalivyoKuhusu kuomba radhi sijui km mmekosea wengi maana nnaowajua hawazidi 10 wake kwa waume !!!niliomba radhi kwa thread zangu ila sio vingine!

Sent using Jamii Forums mobile app
kama wapo 10 je uliwaenda hata pm kumalizana nao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama wapo 10 je uliwaenda hata pm kumalizana nao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumalizana nao kivipi?nnavoanzisha thread mfano km hv gudume yaweza kua kamlenga mtu au hajamlenga mtu sasa mfano akihisi kakosea atafata pm wangapi?kuwaomba radhi[emoji28][emoji28][emoji28]ktk niliomeet nao I don't think yupo niliyemkosea

Na hawafiki kumi!!nnaowajua wadada hawazidi wanne wakaka hawazidi wanne



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom