Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji1][emoji1][emoji1]asante starehe yangu ni simu na TV aseehh!naweza shinda ndani tuu!!!wala sina wasiwasi!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1]asante starehe yangu ni simu na TV aseehh!naweza shinda ndani tuu!!!wala sina wasiwasi!!!
Napenda Movies za Action na MpiraHahaaa....napenda Mpira napenda wahindi yaani acha kabisaa...
Hapa kwangu mpk watoto wameambukizwa uhindi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tulia... [emoji23]Unanianza eeeh nitoe siri. [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema kaka uko vizuri. Nikirudi turudie mechi Cc Phenomenal woman
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunafanana ila aina ya movies tu ndio inayotutofautisha[emoji1][emoji1][emoji1]asante starehe yangu ni simu na TV aseehh!naweza shinda ndani tuu!!!wala sina wasiwasi!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]ungekuwa huu mkoa nilipo kesho tungepiga ht kumi...mie akuu..labda savana au redds..nayo sio sana labda niwe naye nyumbi hii bombi hii
Natuliaje mwangu. Si unaona lakini ananichokoza niseme mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ushafika mjini?
Siasa nipo sanaa japo JF sikuhizi kunapwaya. Twitter huko Siasa zinanoga sana[emoji23][emoji23][emoji23] mimi siasa tu kwakweli...mengine walaa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nitakujaaamimi eti nna hela ninyse robertson[emoji57][emoji57]nakunywa km maji
[emoji23][emoji23][emoji23]we naye una majoto[emoji23][emoji23][emoji23]...khaaa sikumbuki kuomba mechi lin..naamka 11 narudi saa1 naanzaje kutaman mechi...ah wapi...
My Biological Babe just can't chill... Bado niko nae Mecuz.Natuliaje mwangu. Si unaona lakini ananichokoza niseme mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ushafika mjini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Msije Twitter tunatoshaa jaman[emoji23]Siasa nipo sanaa japo JF sikuhizi kunapwaya. Twitter huko Siasa zinanoga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Naanza kufast kwa ajili yako
Siyo jambo la kawaida kabisa [emoji47][emoji47][emoji47][emoji47]
Loooh. Nikajua ushaondoka. Ko zile za mwanaume wa shoka unakunywa nae saa hizi?