Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Hahahhh GuDume buaaana umetuchambua vilivyo hongera Mkuu
Ngoja na sisi tuje na kwenyu
Happy New Year 2019 mwaka wa mapinduzi ya mapendano siasa basi sasa!
 
JF inachekesha sana. Kwahio kuwa na akili ni kupitia majukwaa ya biashara, intelligence,siasa?! Kabla ya kujiunga JF hukuwa na akili? Kama huna akili huna tu kushinda jukwaa fulani hakukufanyi uwe na akili.
Nimecheka sana[emoji23][emoji23]

RRONDO umeona tangazo la forex hapo chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…