Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Yani jamaa niliwahi kuwa nakudharau kwa thread zako but leo nakuunga mkono 101%. Umeandika ukweli mtupu kabisa.
 
Ndo maana ulikuwa huonekan jukwaan kumbe ulibadili ID.
Kweli utafti wako utakuwa umefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Hongera na tumejifunza vingi kupitia thread yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kukawa na ukweli lakini cha ajabu ni kipi hapo?? Hii ni jamii kama ilivo jamii nyingine, watu wapo humu wa kila aina....Majina fake na tabia fake inawezekana pia

Majukwaa tofauti tofauti yamewekwa ili iweje?? Kwa nini tuanze kupangiana majukwa ya kuchangia kisa yana hadhi fulani?? Mwanamke ukiwa msemaji majukwa ya siasa na michezo unaonekana hufai mjuaji, ukishinda MMU nako tena shida mnataka washinde wapi??
Mi naona tuachiane uhuru ilimradi sheria za JF hazivunjwi na kama mtu ameamua kutumia majukwaa anayotaka akakutana na ambayo hakutarajia basi tuvumiliane tu ila sio kuanzishiana nyuzi

JF where we dare....but sometimes use it at your own risk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma vizuri mkuu "Namdharau kwa threads zake". Hapo ndipo ninapomjua.
Funny though kwasababu kama unasoma threads za huyu jamaa kwa akili kidogo tu utajua ni mtu anaejitambua sana,very smart. Anaandika sana kule kwenye siasa wengi huwa wanakurupuka hawajui anamaanisha nini katikati ya mistari.
 
Ni kweli mkuu, thread za siasa zina mashiko sana na hapo ndipo nilipo mrudishia heshima yake. Hizi kazianza juzi juzi

Threads zake za MMU kipindi hicho, visa na mikasa ya ajabu ajabu ndizo zilinifanya nikose kundi la kumuweka.
 
Haya mkuu....ila usidanganywe na maandishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…