Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Soma vizuriOk. Maana nmeona neno "jomoni" nikadhani mwanaume ndo ameandika hivyo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vizuriOk. Maana nmeona neno "jomoni" nikadhani mwanaume ndo ameandika hivyo....
Eti Mimi Nina pembe au?Hahaaa .. nilikuwa napita kimya kimya ... imenibidi nicheke
Usipo cheka jf itakuwa hauna bandama (quote via Hornet)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema Mara nyingi ukiona mtu anakusema vibaya ujue ulimpa makavu pm
Hahaaa .. nilikuwa napita kimya kimya ... imenibidi nicheke
Usipo cheka jf itakuwa hauna bandama (quote via Hornet)
Sent using Jamii Forums mobile app
Jf uwanja wa fujo. Ukimkataa mtu akija humu anakuponda.sasa mtu una kuuma ngapi mpaka ukubali kila mtu jamani?Sema Mara nyingi ukiona mtu anakusema vibaya ujue ulimpa makavu pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Jf uwanja wa fujo. Ukimkataa mtu akija humu anakuponda.sasa mtu una kuuma ngapi mpaka ukubali kila mtu jamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tatu mbele na nyuma na kishimo kikojoleoJf uwanja wa fujo. Ukimkataa mtu akija humu anakuponda.sasa mtu una kuuma ngapi mpaka ukubali kila mtu jamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekukumbuka tu pacha wangu at least wewe unashinda kule kwenye Forex....😎
[emoji3][emoji3][emoji3] pacha usipotaja forex mbele yangu hujisikii kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mnataka niondoke kwenye huu uzi
Nimecheka mpaka mkojo mm najiona kabisaa yani najiona kabisaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama mimi. Yani kuna sehemu nasoma najiona mbona kama mimi halafu nasoma tena najiona. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka mpaka mkojo mm najiona kabisaa yani najiona kabisaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman mm Demiss mbn najiona hapoo uwiiii nashukuru tu nilikunyima bumunda
Kumbe aliomba bumunda??Jaman mm Demiss mbn najiona hapoo uwiiii nashukuru tu nilikunyima bumunda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa .. nilikuwa napita kimya kimya ... imenibidi nicheke
Usipo cheka jf itakuwa hauna bandama (quote via Hornet)
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sitak kesi mm kabisaa hebu ngoja niende tsap nikachungulie file[emoji23][emoji23][emoji23]